Kwa mfano, ule mto mkubwa pale mjini (Mirongo), hujaa taka kibao, zikiwamo chupa na makopo. Yaani ni shida tupu." Ofisa Mazingira wa Jiji la Mwanza, Fanuel Kasenene, anasema uelewa mdogo wa watumiaji ...
Maombi ya dhamana ya Dk. Wilbroad Peter Slaa wakati rufaa yake ikiendelea kusubiriwa (bail pending appeal) yamesajiliwa rasmi katika Mahakama ya Rufani ya Tanzania kwa hati ya dharura, ikiwa ni Maombi ...